Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameitaka serikali kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa Mradi wa Maji wa Igongwi ambao hadi sasa umefikia asilimia 97. Amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu kwa Wizara ya Maji Bungeni Dodoma Juni 6, 2025. Wananchi wa Luvuyo wamezuia mradi huo kupita katika eneo lao hadi nao watakapota maji.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇