May 18, 2025

WAKULIMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KUWAPATIA MBOLEA YA RUZUKU YA TFC

 Baadhi ya wakulima wa mazao ya kahawa, mahindi, maharage na viazi Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kuwapatia mbolea ya ruzuku inayosambazwa na Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) ambayo imesaidia kuongeza uzalishaji wa mazao yao.




No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages