Wakulima wa mazao mbalimbali Mbeya Vijijini wamezikubali mbolea za ruzuku zinazosambazwa na Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) ambazo zimeongeza uzalishaji kiasi kikubwa.
Baadhi ya wakulima wa mazao mbalimbali Mbeya Vijijini wakielezea jinsi mbolea ya Ruzuku inayosambazwa na Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) ilivyowanufaisha.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇