Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo akichangamkiwa na wabunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 20, 2025, baada ya kuhudhuria mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) iliyopitishwa na Bunge.
Chongolo akifurahia jambo na Mbunge wa Viti Maalumu, Rita Kabati.
Mbunge wa Viti Maalumu, Mariam Mwinyi akisalimiana na Chongolo.
Chongolo akisalimiana na Mwenyekiti wa Viti Maalumu, Hadija Hassan.
Chongolo akiwa na Mbunge wa Maswa Magharibi, Mashimba Ndaki.
Akijadiliana jambo na wabunge wa Viti Maalumu, Stela Fiyao (katikati) na Gati Chomete.
Akiwa na Mbunge wa Viti Maalumu, Hawa Mwaifunga.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇