Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,
Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika
Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya
Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma, kulia ni Mwendesha Kifaa cha
Bayometriki Nicholaus Natay kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.
Rais Samia akipigwa picha kwa ajili ya kadi hiyo ya mpiga kura.

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇