Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionesha Tuzo Maalum ya Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuipokea kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika viwanja Bunge Jijini Dodoma tarehe 31 Mei, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kupokea tuzo hiyo.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza katika hafla hiyo.
May 31, 2025
RAIS DK. SAMIA ATUNUKIWA TUZO MAALUMU YA HESHIMA NA BUNGE LA TANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇