May 18, 2025

PROF. JANABI ASHINDA KWA KISHINDO UKURUGENZI WA WHO KANDA YA AFRIKA

 

Profesa Mohammed Janabi Mkurugenzi wa Hospitali ya Haifa ya Muhimbili na Mshauri wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipongezwa baada ya kushinda kinyang’anyiro cha nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani WHO kanda ya Afrika iliyoachwa na marehemu Dkt. Faustime Ndengulile aliyefariki siku chache baada ya kuchaguliwa na kabla hajakabidhiwa majukumu hayo, Profesa Janabi ameshinda kwa kura 32, Kati ya kura 46 zilizopigwa na wajumbe.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages