May 28, 2025

DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALAMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk.  Samia Suluhu Hassan,  ameongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Kilichofanyika leo jijini Dodoma.

Dk. Samia ameongoza kikao hicho leo May 28 katika Ukumbi wa NEC uliopo Makao Makuu ya CCM (Whitehouse) jijini Dodoma.





No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages