LATEST HEADLINES👉

May 23, 2025

CHOMBO CHA KUSIMAMIA MADALALI WA ARDHI KUUNDWA - WAZIRI NDEJEMBI

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amesema kuwa serikali imo mbioni kuunda chombo kitakacho wasimamia madalali na mawakala wa ardhi nchini kwa lengo la kutokomeza utapeli.

Hayo yameelezwa leo Mei 23, 2025 jijini Dodoma na Waziri Ndejembi ,wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya Wizara hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Waziri Ndejembi.

Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari MAELEZO, Zamaradi Kawawa akitoa neno la kuhitimisha mkutano huo.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages