Apr 27, 2025

WAZIRI MKUU AKAGUA MABANDA MBALIMBALI YA USHIRIKA, BENKI YA USHIRIKA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akikagua mabanda mbalimbali yanayojihusisha na vyama vya ushirika, kilimo na Taasisi mbalimbali alipohudhuria leo kongamano maalumu kuelekea uzinduzi wa Benki ya Ushirika utakaofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Aprili 28, 2025 jijini Dodoma.

Majaliwa akipata maelezo kuhusu Benki mpya ya Ushirika. Kushoto ni Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe.
Chama Kikuu cha Ushirika cha Tandahimba na Runali.
Akiwa Banda la BBT.

Chama Cha Ushirika Kyela (KYECU)




Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe.

Majaliwa akipata maelezo kuhusu kilimo cha mwani.


 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MHARIRI

BLOG YA TAIFA YA CCM

0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages