Apr 5, 2025

WASIRA APOKEA TAARIFA UTEKELEZAJI ILANI YA CCM JIMBO LA ILALA, LEO APRIL 05, 2025

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg. Stephen Wasira akizungumza na Viongozi  na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa  CCM leo April 05, 2025 katika uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Ilala Jijini Dar Es Salaam 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg. Stephen Wasira akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Moka wa Dar eĹ› Salaam Ndg. Abasi Mtemvu leo April 05, 2025 katika uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Ilala Jijini Dar Es Salaam 

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila akizungumza na Viongozi  wa CCM leo April 05, 2025 katika uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Ilala Jijini Dar Es Salaam
Mbunge wa Jimbo la Ilala Naibu Spika wa Bunge, Mussa Zungu  akizungumza na Viongozi  wa CCM leo April 05, 2025 akiwasilisha  taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Ilala Jijini Dar Es Salaam


Viongozi na wajumbe wa mkutano Mkuu jimbo la Ilala wakifuatilia Mkutano huo

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages