Apr 11, 2025

TAASISI YA CHAKULA NA LISHE ISIFUTWE - MBUNGE LUGANGIRA

Mbunge wa Viti Maalumu, Neema Lugangira ameishauri Serikali ifute uamuzi wa  kufuta Taasisi ya Chakula na Lishe kwani ina umuhimu mkubwa kwa jamii.

Ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2025/ 2026 bungeni Dodoma Aprili 10, 2025.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MHARIRI

BLOG YA TAIFA YA CCM

0754264203

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages