LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 30, 2025

MWANYIKA AMPIGIA CHAPUO BASHE MBELE YA RAIS SAMIA

Mbunge wa Njombe Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bunge na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Deodatus Mwanyika akizungumza wakati wa ufunguzi wa Benki ya Ushirika Tanzania ambapo pamoja na mengine alimuomba Rais Samia Suluhu Hassan kwamba itakapompendeza katika Baraza la Mawaziri lijalo amrejeshe tena Hussein Bashe kuwa Waziri wa Kilimo kwani ameifanyia mambo makubwa sekta ya kilimo.
 


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages