LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 5, 2025

MKUTANO WA HADHARA WA DKT. NCHIMBI WILAYANI MBINGA

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Mbinga mjini, alipokuwa njiani kuelekea Wilaya ya Nyasa, ikiwa ni siku ya nne ya ziara yake ya siku tano, katika Mkoa wa Ruvuma, leo Jumamosi tarehe 5 Aprili 2025.\







 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages