Apr 21, 2025

ESTHER MWAMYALLA AZIDI KUTOA ELIMU KUHUSU ULINZI SHIRIKISHI KWA WANANNCHI WA MTAA WA MBEZI BEACH A

 Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mbezi Beach A, Kata ya Kawe Jijini Dar es Salaam Esther Mwamyalla, katika juhudi zake za kuhakikisha wananchi wake wanaoishi katika maeneo yote ya mtaa huo wanaishi kwa usalama pamoja na mali zao, ameeledelea kuhimiza na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa ulinzi shirikishi. Tafadhali msikilize akieleza👇.



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages