Mbunge wa Kilombero, Abubakar Asenga akitema cheche wanaochezea mazingira na wanaoubeza Muungano wa Tanganyika na Zanzibar alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026 bungeni Dodoma Aprili 25, 2025.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇