Mar 3, 2025

VIJANA WATAKIWA KUJIUNGA KWA WINGI VETA


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mafunzo  na Ufundi Stadi (VETA), CPA. Anthony Kasore akijibu maswali kutoka kwa  Mhariri wa Mtandao huu alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari katika Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Machi 3, 2025 kuhusu mafanikio ya miaka minne ya Taasisi hiyo katika Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Sulihu Hassan.


Waandishi wa habari wakiuliza maswali wakati wa mkutano huo




Wanahabari wakisikiliza kwa makini kuhusu majukumu ya VETA.





 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages