Mar 23, 2025

TANROADS YAENDELEA KUTEKELEZA MIRADI YA DHARURA

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania( TANROADS), Mhandisi Mohamedi Besta amekagua miradi ya dharura iliyoharibiwa na mvua za elininyo mkoani Manyara  Machi, 22 2025.


Pia amekagua ujenzi wa daraja la Msasani lililopo Babati Mjini, ambapo Mtendaji Mkuu ameridhishwa na maendeleo ya mradi huo unaofadhiliwa na Benki ya Dunia


Aidha amesisitiza wakandarasi kufanya kazi kwa bidii usiku na mchana ili kukamilisha miradi hiyo kwa muda uliokusudiwa, wakifanya hivyo wananchi wataweza kufanya shughuli zao za kila siku za kujiingizia kipato.

            Tafadhali Bofya👉🏻 HAPA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages