LATEST HEADLINES👉

Mar 31, 2025

RAIS DKT. MWINYI AJUMUIKA NA WAISLAMU KATIKA SALA YA EID KATIKA MSIKITI WA JAMIU MAZIZINI ZANZIBAR


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam kwenye Sala ya Eid Al Fitr iliyosaliwa katika Msikiti wa Jamiu Zinjibari Mazizini, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 31 Machi 2025.

     

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages