Mar 7, 2025

RAIS DK. SAMIA AFANYA KIKAO NA BARAZA LA MAWAZIRI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Machi 17, 2025 amefanya Kikao na Baraza la Mawaziri, Ikulu Jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages