Afisa Mtendaji Mkuu na Msimamizi wa Hakimiliki (COSOTA), Doreen Sinare akizungumza na waandishi wa habari, kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dodoma, kuhusu mafanikio na mwelekeo wa ofisi hiyo ndani ya miaka minne ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita.
Pamoja na mafanikio mengine, Sinare amesema kuwa muziki wa Singeli wenye asili ya Tanzania, umezidi kujipatia umaarufu nchini na nje ya nchi.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Zamaradi Kawawa akitoa neno la ukaribisho kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa COSOTA, Sinare kuzungumza na vyombo vya habari.
Baadhi ya wandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇