LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 3, 2025

WAGOMBEA URAIS KUPITIA CCM KUTAMBULISHWA RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 48 YA CCM

 


 Maadhimisho ya miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yatakayofanyika Jumatano Februari 5 mwaka huu yatatumika kuwatambulisha rasmi kwa wanaCCM Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho, Mwenyekiti wa chama hico, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea Mwenza, Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi na Mgombea Urais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi.

Hayo yameelezwa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA. Amos Makalla katika mkutano na vyombo vya habari jijini Dodoma leo Februari 3, 2025.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages