Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi akihutubia wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya uongozi kuelekea uchaguzi mkuu uliohudhuliwa na makada wa chama hicho wa Kata na matawi kutoka Kata 41 za Wilaya ya Dodoma leo jijini Dodoma Februari 19,2025.
Pamoja na mambo mengine, Dkt. Nchimbi amesema kuwa kitendo cha CCM kuongeza wigo wa wapiga kura za maoni kwa madiwani na wabunge kimepunguza mbwembwe za rushwa.
Katibu Mkuu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Pili Mbaga akizungumza kabla ya kumkaribisha Katibu wa Oganaizesheni wa CCM, Issa Haji Gavu ili amkaribishe Dkt. Nchimbi.
Baadhi ya viongozi wa CCM wakiwa katika mafunzo hayo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇