Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) kwa niaba ya Mwenyekiti wa Umoja huo Rais wa Angola Mhe. João Lourenço katika ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo, Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 16 Februari, 2025. Aidha, Tanzania imechaguliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Uongozi wa Umoja wa Afrika (Bureau of the African Union Assembly) kwa mwaka 2025.
Your Ad Spot
Feb 16, 2025
RAIS SAMIA AONGOZA MKUTANO WA 38 WA AU
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About CCM Blog INVITEE
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

.jpg)
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇