LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 10, 2025

MATUKIO YA WAZIRI KIKWETE BUNGENI DODOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana,Ajira, Vijana na Wenye ulemavu, Ridhiwani Kikwete (kulia) akijibu maswali ya wabunge bungeni Dodoma Februari 10, 2025.
Waziri Kikwete akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI)M Zainab Katimba.

 Waziri Kikwete akizungumza na Mbunge wa Viti Maalimu, Dkt. Thea Ntara.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MHARIRI

BLOG YA TAIFA YA CCM

0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages