LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 24, 2025

MAPATO YAZIDI KUONGEZEKA MSONGAMANO WAPUNGUA BANDARINI - TPA


MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA), Plasduce Mbossa akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa habari katika Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Februari 24, 2025, kuhusu mafanikio ya TPA katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages