LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 26, 2025

HUDUMA ZA TIBA YA MOYO ZA JKCI ZATAMBA ANGA ZA KIMATAIFA

MKURUGENZI wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Dkt. Peter Kisenge akielezea katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma kuhusu mafanikio ya taasisi hiyo katika miaka minne ya uongozi wa Awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan Februari 26, 2025.


Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari MAELEZO, Zamaradi Kawawa akitoa neno la kumkaribisha Mkurugenzi wa JKCI, Dkt. Kisenge kuzungumza na vyombo vya habari katika mkutano huo.
Waandishi wa habari wakiwa makini kufuatilia wakati Dkt. Kisenge akielezea mafanikio ya taasisi hiyo.




Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi, Hebel Chidawali akiuliza swali.
Mwandishi wa habari wa Ngasa Online Tv, Julieth akiuliza swali.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages