LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 8, 2025

BALOZI NCHIMBI AHUDHIRA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UMOJA WA WAZAZI CCM

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza kwenye Kikao cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi, Jumuiya ya CCM, ambacho alialikwa na kushiriki akiwa mgeni maalum, lJumamosi tarehe 8 Februari 2025, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.



Dkt. Nchimbi akizungumza baada ya kuwasili kwenye kikao  hicho. Kushoto ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM Taifa, Fadhili Maganya na kulia ni Makamu Mwenyekiti, Dogo Mabrouk.

Dkt. Nchimbi akivishwa skafu alipowasili kwenye kikao hicho.


 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages