Jama alitoa pongezi hizo wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichofanyika katika moja ya kumbi ndogo za Bunge jijini Dodoma.
Mkulima Jama Abdi Jama kutoka Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara amemshukuru Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Deodatus Mwanyika kwa kumkaribisha kwenye kamati hiyo kutoa ushauri wa jinsi ya kuboresha kilimo biashara ambapo pia alitumia wasaa huo kuipongeza serikali kwa kuwa na hifadhi kubwa ya chakula.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇