Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dodoma, Neema Majule akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dodma, Rose Senyamule tuzo maalumu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ikiwa ni ishara ya kumpongeza ya kupitishwa na Mkutano Mkuu wa CCM kugombea urais kupitia chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao.
Tuzo hiyo ilitolewa baada ya kusomwa kwa tamko rasmi za kumpongeza yeye na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Visiwani, Rais wa Zanzibar majina yao kupitishwa.
Baadhi ya makada wa CCM.
Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Pili Mbaga.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇