Jan 31, 2025

DKT NCHIMBI AALAKIWA NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA PP ETHIOPIA

 KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokelewa na Mhe. Dkt. Girma Amente, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Prosperity Party (PP), chama tawala cha Ethiopia na pia Waziri wa Kilimo wa Serikali ya nchi hiyo, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole. Balozi Nchimbi amewasili nchini Ethiopia kwa ajili ya ziara ya kikazi, kufuatia mwaliko wa PP.












 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages