Baadhi ya walimu wanachama wa Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) wakijimwambafai kwa kuelezea mafanikio ya chama chao hicho kipya baada mafanikio makubwa ya mkutano mkuu maalumu wa mabadiliko ya rasimu ya katiba yao uliofanyika jijini Dodoma hivi karibuni.
Wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukikubali chama hicho.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇