Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika amesema kuwa wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameamua kupitisha majina ya Dkt. Samia Akuhu Hassan kuwa mgombea wa kiti cha urais wa Tanzania kupitia chama hicho na Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa upande wa Zanzibar, kutokana na kazi kubwa walioifanya. Aidha,Mwanyika amesema kuwa Watamshangaa endapo mwanachama mwingine wa CCM atajitokeza na kutangaza kuwa atakuwa mgombea urais. IIMEANDALIWA NA
RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇