Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dkt. Irene Isaka akitoa shukrani kwa wahariri kwa kuhudhuria kikao kazi cha NHIF na Wahariri kuhusu maboresho kuelekea .mfumo wa Bima ya Afya Kwa Wote (UHI) kilichofanyika Desemba 5 mwaka huu jijini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile aliyetoa pongezi hizo kwa niaba ya TEF.
Mhariri Jane Mihanji kutoka magazeti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Uhuru na Mzalendo akitoa mchango wake wakati wa kikao hicho.
Mhariri Salome Kitomari kutoka Gazeti la Nipashe.
Wahariri wakiwa kwenye kikao hicho.Kaimu Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Mfuko huo, Grace Kisinga akitoa neno la shukrani alipokuwa akihitimisha kikao hicho.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇