LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 8, 2024

MSIGWA AREJESHWA KUWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amehamisha majukumu ya sekta ya habari kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwenda Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambapo Profesa Paramagamba Kabudi ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo na  kumteua Gerson Msigwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo na kurejeshwa kuwa  Msemaji Mkuu wa Serikali nafasi ambayo aliwahi ishika awali.


Awali Kabudi alikuwa Waziri wa Katiba na Sheia na Msigwa alikuwa Katibu Mkuu wa iliyokuwa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages