Kikao cha Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na Wadau Kilimo wanaohusika hasa na uuzaji wa pembejeo zikiwemo mbegu, Viuatilifu na Mboleo kilichofanyika jijini Dodoma.
Mmoja wa wadau wakubwa wa tasnia hiyo, Matuyani Laiser akielezea jinsi alivyofurahishwa na yaliyojadiliwa kwenye kikao hicho na anavyoiendesha biashara yake.
Aidha, Laiser amemshukuru na kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuijali sana sekta ya kilimo kwa kuimwagia fedha nyingi katika Bajeti.
Mfanyabiashara Matuyani Laiser akizungumza na wanahabari baada kikao hicho kumalizika.
Laiser akiwa na wadau wengine wa kilimo wakijadiliana jambo na Waziri Bashe.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇