Mwenyekiti wa Klabu ya Michezo ya Bunge la Tanzania (Bunge Sports CLUB), Tarimba Abbas akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma Desemba 4, 2024, kuhusu timu ya Bunge la Tanzania kushiriki mashindano ya mabunge ya Afrika Mashariki ya michezo mbalimbali yanayotarajia kuanza Desemba 7 na kumalizika Desemba 17, 2024 Mombasa, Kenya. Kulia ni Meneja Bunge Sports, Seif Gulamali na Mjumbe wa Anna Lupembe.
Gulamali akionesha moja ya jezi zitakazotumiwa na wanamichezo wa Bunge Sports katika mashindano hayo ya 14.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇