LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 20, 2024

BALOZI NCHIMBI AZINDUZ UKUMBI WENYE UWEZO KUTUMIWA NA WATU 1,900 NZEGA

 KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasili na kupokelewa Wilaya ya Nzega, leo Ijumaa tarehe 20 Desemba 2024. Kabla ya kushiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Nzega mjini, ambao amealikwa kuwa mgeni rasmi, Balozi Nchimbi alifanya uzinduzi wa ukumbi mkubwa wa mikutano unaomilikiwa na CCM Wilaya ya Nzega, wenye uwezo wa kutumiwa na watu takriban 1,500 - 1,900 wakiwa wamekaa, ulioko Ofisi ya CCM Wilaya ya Nzega.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa na viongozi wengine akizindua rasmi ukumbi huo.Kushoto ni Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe.



Makada wa CCM wakiwa ndani ya ukumbi huo.

 Dkt. Nchimbi akiongoza mkutano mkuu wa jimbo la Nzega.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages