Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya umeipaisha Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan. Ameyasema hayo alipokuwa akijibu hoja za wabunge bungeni Dodoma Novemba 8, 2024, wakati wa kuhitimisha Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 pamoja na Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇