Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameishauri serikali kuweka msukumo mkubwa kwenye mazingira ya uwekezaji alipokuwa akichangia mapendekezo ya Mpango ifa wa Maendeleo kwa mwaka 2025 - 2026 na mwelekeo wa Bajeti ya serikali kwa mwaka 2025 - 2026. Pamoja na kupambania uboreshaji wa sekta ya kilimo amesema kuwa mradi wa Liganga na Mchuchuma tuuharakishe na ukianza utasaidia kubadilisha haraka uchumi wa nchi.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇