LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 29, 2024

MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ALIYEKUWA RC SIMIYU DK. NAWANDA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk. Yahya Nawanda katika kesi ya kulawiti iliyokuwa ikimkabili.


Hayo yamejiri leo katika uamuzi wa Mahakama dhidi ya kesi hiyo ya jinai namba 1883/2024, yenye kosa la kulawiti, iliyokuwa inamkabili Dk. Nawanda.


Akisoma uamuzi huo Hakimu, Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo Erick Marley, amesema baada ya mahakama kupitia maelezo ya ushahidi na vielelezo imejiridhisha kuwa hakukuwa na muunganiko wa ushahidi unaoweza kumtia mshtakiwa Dk Nawanda hatiani na hivyo kumwachia huru.

Chanzo: Mwananchi Online

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages