LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 24, 2024

TBS, CAMARTEC ZAJIELEZA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA KILIMO

 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Viwanda, Biashara na Mifugo, Deodatus Mwanyika ametoa maagizo makubwa kwa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuongeza nguvu, umadhubuti na weredi kuhakikisha bidhaa zinakuwa na ubora unaotakiwa. Pia amekiagiza Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) kuhakikisha wanatengeneza zana za kilimo zenye ubora na za bei nafuu wanazoweza kuzimudu hata wananchi wa hali ya chini.


Ameyasema hayo leo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, baada kamati hiyo kufanya kikao na taasisi hizo zilizo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa lengo la kujua utendaji wake.



Mwanyika akiongoza kikao hicho.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Seleman Jaffo akifafanua jambo katika kikao hicho.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Camartec, Mhandisi Godfrey Mwanama akiwasilisha taarifa ya kituo hicho.
Baadhi ya maafisa wa wizara hiyo na taasisi hizo.

Baadhi ya wabunge ambao ni wajumbe wa kamati hiyo.

IMEANDALIWA NA
 RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages