Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Geita kabla yakufunga Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika sekta ya madini tarehe 13 Oktoba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akifuatilia matukio kwenyemkutano wa kufunga Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika sekta ya madini Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.
Shangwe la Viongozi pamoja Wananchi kutoka maeneo mbalimbali Mkoani Geita wakiwa kwenye mkutano wa kufunga Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika sekta ya madini Mkoani humo tarehe 13 Oktoba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde kabla ya kuhutubia wananchi pamoja na kufunga Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye sekta ya madini yaliofanyika Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.
Viongozi pamoja Wananchi kutoka maeneo mbalimbali Mkoani Geita wakiwa kwenye mkutano wa kufunga Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika sekta ya madini Mkoani humo tarehe 13 Oktoba, 2024.
(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇