Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika, akichangia hoja bungeni kuhusu taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), kuhusu uwekezaji wa mitaji ya umma kwa mwaka wa fedha wa 2022/ 2023 bungeni Dodoma Oktoba 30,2024. Mwanyika pamoja na mambo mengine amesema kuwa si kila kiongozi mstaafu anastahili kuwa Mwenyekiti wa Bodi wa mashirika ya umma.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇