LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 27, 2024

MBUNGE MWANDABILA AWATAKA WANAWAKE WAPAMBANIE UONGOZI SERIKALI ZA MITAA

 

                                       

Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe, Neema Mwandabila akiwahamasisha wanawake kujitokeza kwa wiki kugombea uongozi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani humo.


Ametoa wito huo wakati wa ziara yake aliyoifanya hivi katibuni katika Kata mbalimbali mkoani humo.

Baadhi ya wanawake walioshiriki kikao hicho cha ndani.

 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages