LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 30, 2024

KASI NDOGO UJENZI WA MRADI WA UMWAGILIAJI MWAMKULU WAMTIA WASIWASI KAPUFI

 


 Mbunge wa Mpanda Mjini, Sebastian Kapufi ameihoji serikali bungeni leo Oktoba 31, 2024 kuhusu kasi ndogo ya ujenzi wa Mradi wa Umwagiliaji wa Kata ya Mwamkulu, Mpanda.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages