LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 11, 2024

KANISA HALISI LATOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA KINAMAMA WA LIWITI WILAYANI ILALA

 Afisa tarafa ya Ukonga Ndugu Heri akifungua mafunzo ya siku saba ya ujasiriamali kwa kina mama zaidi ya 200 wa Kata ya Liwiti, wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na  Kanisa Halisi Kituo cha Liwiti na kufanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya CCM Kata ya Liwiti, yatahitimishwa kesho Jumamosi.

 M































 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages