LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 7, 2024

DK. NCHIMBI AENDA KUTOA POLE MSIBA WA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM BARIADI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla na Katibu wa NEC - Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndugu Rabia Hamid Abdalla, amefika kuwapatia pole familia ya Bi. Juliana Wilemahongo, aliyefariki dunia tarehe 15 Septemba 2024. Bi Wilemahongo hadi anafikwa na mauti, alikuwa ndiye Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Bariadi, akiwa amejitolea kutumikia nafasi hiyo ya uongozi kwa vipindi vitatu.

DK. Nchimbi akitia Saini kwenye kitabu cha kumbukumbu.

 Akiweka shada la maua katika Kaburi la marehemu.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages