Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa Chuo cha Maendeleo ya Mipango Vijijini, Dodoma, Godrick Ngoli kwa niaba ya chuo ameahidi kuwa bega kwa bega kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili Shule ya Sekondari Mbabala iliyoko nje kidogo ya Jiji la Dodoma.
Ngoli akihutubia katika mahafali hayo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa Chuo cha Maendeleo ya Mipango Vijijini, Dodoma, Godrick Ngoli akivishwa skafu na Skauti alipowasili katika mahafali hayo.
Baadhi ya wanafunzi wanaotarajia kuhitimu.
Wanafunzi wakisoma risala kwa niaba ya wenzao
Wanafunzi wakiimba wimbo
Baadhi ya wazazi na wageni waalikwa.
Afisa wa Chuo cha Mipango akijitambulisha.
Diwani wa Kata ya Mbabala, Paskazia Mayala akitoa salamu.
Mkuu wa Shule hiyo, Patrick Mayengo akipongezwa kwa kazi nzuri ya kuiongoza shule hiyo.
Mwalimu Mkuu Myengo akiteta jambo na Ngoli.
Afisa Elimu Taaluma wa Sekondari wa Jiji la Dodoma, akipongezwa na Mkuu wa Shule hiyo, Mayengo
Baadhi ya walimu wakikabidhiwa zawadi kutambua utendaji wa mzuri ambao umeifanya shule hiyo kuwa na ufaulu mzuri.
Baadhi ya wanafunzi wanaotarajia kuhitimu Kidato cha Nne wakikabidhiwa vyeti.
Mwalimu Mkuu Mayengo akitoa maelezo kwa Ngoli alitembelea jengo la maabala.
Ngoli akipata maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa matundu ya vyoo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇