LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 25, 2024

BALOZI NCHIMBI AWAFARIJI MZEE MAKAMBA NA FAMILIA YA MWAMBI.


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Mzee Yusuf Makamba, Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, nyumbani kwake, eneo la Wazo Hill, jijini Dar Es Salaam, leo tarehe 25 Oktoba 2024, alipofika kumfariji kufuatia msiba wa binti yake, Bi. Sakida Rajab Makamba uliotokea 12 Oktoba 2024, mjini Morogoro. Kulia kwa Mzee Makamba ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) - Oganaizesheni, Ndugu Issa Gavu.



Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akimfariji mjane wa marehemu Balozi Jaka Mwambi, Bi. Salome Jaka Mwambi (mwenye nguo nyeupe), leo tarehe 25 Oktoba 2024, nyumbani kwake eneo la Kunduchi, jijini Dar Es Salaam, kufuatia msiba wa binti yake, Bi. Happiness Jaka Mwambi uliotokea tarehe 24 Oktoba 2024. Kulia kwa Balozi Nchimbi ni Ndugu Issa Gavu, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) - Oganaizesheni.  



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages